Image
Image

LUKUVI aagiza kupimwa na kukabidhiwa kwa hati za kimila wananchi wa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro .



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,WILIAM LUKUVI ameagiza kupimwa na kukabidhiwa kwa hati za kimila wananchi wa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro .
Waziri LUKUVI pia ametaka  kuheshimiwa na kutambuliwa katika maeneo m balimbali zikiwemo taasisi za  fedha.
Amesema hayo baada ya kupokea taarifa ya usuluishi wa migogoro ya ardhi kwa Wilaya ya Kilosa katika eneo la Mabwegere,kazi ambayo alimuagiza  aliyewahi  kuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro,Mzee STEVEN  MASHISHANGA ku i fanya .
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,D akta RAJAB RUTENGWE ameviasa vyombo vya usalama kutokuwa sababu ya migogoro ya Ardhi,hasa  ya wakulima na wafugaji Wilayani Mvomero na kuahidi kubadili viongozi wa Polisi ili kubadili hali ya utendaji kazi .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment