Image
Image

Obama amepanga kumaliza uhasama unaondelea nchini Syria.


Rais Obama amepanga kuchukua hatua ya kumaliza uhasama unaondelea nchini Syria kwa kuwapa onyo vyama vyote vinavyohusika na mgogoro ambao unaangaliwa na dunia na kama wataweza kutimiza ahadi zao.
Taarifa zilizokuja usiku wa kuamkia Leo,zinasema raisi Obama amechukua hatua madhubuti ili kumaliza mgogoro huo.Amesema mgogoro ambao upo kati ya waasi pamoja na kampeni baina ya kikundi cha kigaidi cha wanamgambo wa kiislamu wa IS una maana kuwa mwisho mwa mgogoro huo hautaweza kuisha kwa haraka.
Lakini raisi huyo amesisitiza pia kuwa hiyo ni fursa ya kuweza kuwa na maongezi ya amani.
Wanaharakati wanasema waasi wanakumbana na mashambulizi makali ya anga kaskazini mwa jimbo la Latakia na kwa waasi waliopo karibu na Damascus.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment