Image
Image

Wawili wafa wengine wajeruhiwa katika ajali ya Bus la Leina na gari Ndogo Kimara.




Watu wa wili akiwemo Dereva wamefariki dunia wengine kujeruhiwa baada ya Bus la Leina Tours lililokuwa likitokea KAHAMA kwenda DSM kupoteza Mwelekeo wakati likitaka kukwepa gari ndogo na kuingia Mtaro wa maji ya mvua Kimara Bucha jijini Dar es Salaam.
Ajali hiyo ambayo imetokea usiku wa kuamkia leo imezua taharuki kwa wakazi wa eneo hilo la Kimara Bucha ambapo wengi wao walionekana kuduwaa huku wakishindwa kuelwa haswa mazingira kamili ya ajali.
Wananchi walionekana kufika msaada kwa manusura wa ajali na walio poteza kuwapa msaada licha ya msemo wa kufa kufaana kutokuisha baada ya watu wanaoonekana kuwa vibaka kuokoa huku wakiiba vitu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments:

  1. Da poleni sana Madereva muwe makini tu mkumbuke mmebeba roho za watanzania na wasio watanzania.

    ReplyDelete