Image
Image

Wawili wapatikana na EBOLA nchini Guinea.



Watu wawili wamepatikana na ugonjwa wa EBOLA nchini Guinea  ikiwa ni miezi mitatu baada ya  ugonjwa huo kutangazwa kwa umeangamizwa nchini humo.
Inaeleweka kuwa watu wengine watatu wa familia yao wal iaga dunia hivi majuzi baada ya  kuonesha dalili za ugonjwa wa EBOLA.
Matukio hayo mapya ya yameripotiwa siku chache baada ya Sh irika la Afya Duniani kutangaza  kuangamizwa kwa ugonjwa huo katika taifa jirani la Sierra Leone.
Watu  zaidi ya Elfu-11 wame kufa kwa ugonjwa wa EBOLA wakati  wa mlipuko wake katika nchi za  Afrika Magharibi ambapo zilizoathirika sana zilikuwa Guinea, Sierra Leone na Liberia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment