Image
Image

OBAMA:Uingereza itapoteza ukuaji na ushawishi wake ikijiondoa EU

Rais BARACK OBAMA wa Marekani amesisitiza kuwa Uingereza itapoteza ukuaji na ushawishi wake ikiwa itaamua kuondoka kwenye Umoja wa Ulaya kupitia kura ya maoni itakayofanyika mwezi Juni mwaka huu.
Akizungumza mjini London baada ya kukutana na Waziri Mkuu wa Uingereza Bwana DAVID CAMERON Bwana OBAMA amesema ikiwa itaondoka Uingereza itakuwa nyuma katika kufikia mikataba ya kibiasharau na Marekani.
Wale wanaounga mkono kuondoka kwa Uingereza kwenye Umoja wa Ulaya wamekosoa hatua ya Bwana OBAMA ya kuingilia kati suala hilo.
Lakini mwenyewe amesema kwamba hakuwa na nia ya kushawishi kura hiyo ya maoni bali kuoungea ukweli kama rafiki.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment