Image
Image

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 25 ya Tanzania Bara.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli leo tarehe 25 April 2016 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 25 ya Tanzania Bara. Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kati ya Makatibu tawala hao 10 ni wapya, 2 wamebadilishiwa vituo vya kazi na 13 wamebakisha katika vituo vyao vya sasa. Makatibu Tawala wapya walioteuliwa ni kama ifuatavyo; ⦁ Arusha – Richard Kwitega ⦁ Geita – Selestine Muhochi Gesimba ⦁ Kagera – Armatus C. Msole ⦁ Kilimanjaro – Eng. Aisha Amour ⦁ Pwani – Zuberi Mhina Samataba ⦁ Shinyanga – Albert Gabriel Msovela ⦁ Singida – Dr. Angelina Mageni Lutambi ⦁ Simiyu – Jumanne Abdallah Sagini ⦁ Tabora – Dkt. Thea Medard Ntara ⦁ Tanga – Eng. Zena Said
Makatibu Tawala waliobadilishwa vituo vya kazi ni kama ifuatavyo; ⦁ Kigoma – Charles Amos Pallangyo (Kutoka Mkoa wa Geita) ⦁ Morogoro – Dkt. John S. Ndunguru (Kutoka Mkoa wa Kigoma)
Makatibu Tawala waliobakishwa katika vituo vyao vya sasa vya kazi ni kama ifuatavyo; ⦁ Dar es salaam – Theresia Louis Mbando ⦁ Dodoma – Rehema Hussein Madenge ⦁ Iringa – Wamoja Ayubu Dickolagwa ⦁ Katavi – CP Paul Chagonja ⦁ Lindi – Ramadhan Habibu Kaswa ⦁ Mara – Benedict Richard Ole Kuyan ⦁ Manyara – Eliakimu Chacha Maswi ⦁ Mbeya- Mariam Amri Mjunguja ⦁ Mtwara – Alfred Cosmas Luanda ⦁ Mwanza – CP. Clodwing Mathew Mtweve ⦁ Njombe – Jackson Lesika Saitabau ⦁ Rukwa – Symthies Emmanuel Pangisa ⦁ Ruvuma – Hassan Mpali Bendeyeko Makatibu Tawala wa Mikoa 10 ambao wameteuliwa kwa mara ya kwanza, wataapishwa siku ya Jumatano tarehe 27 Aprili, 2016 saa tatu asubuhi Ikulu Jijini Dar es salaam.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment