Image
Image

Makundi ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho Afrika yapangwa.



  Makundi ya Kombe la shirikisho barani Afrika yaliopangwa leo May 24 2016.
           Makundi ya Klabu Bingwa Afrika yaliopangwa leo May 24 2016
Baada ya kumalizika kwa hatua ya mtoano ya michezo ya Kombe la Shirikisho na Klabu Bingwa barani Afrika, leo May 24 2016 shirikisho la soka barani Afrika CAF na ilichezesha droo ya kuzipanga timu hizo zilizosalia katika Makundi mawili ya A na B.
Kwa upande wa Tanzania Yanga ndio inawakilisha Taifa, nafasi ambayo iliipata baada ya kuitoa GD Esperanca ya Angola kwa jumla ya goli 2-1 katika hatua ya 16 bora.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment