Image
Image

Wizara ya Habari utamaduni,Sanaa na Michezo yamfungia Snura na Chura wake.

Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo leo imetangaza kumfungia Snura kujihusisha na masuala ya sanaa.
Akiongea na waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara hiyo, Zawadi Msalla, amewaonya watu kutousambaza wimbo huo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp.
Amedai kuwa wale watakaokiuka agizo hilo watashtakiwa kwa kutumia sheria ya makosa ya mtandao. ‪
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment