Image
Image

Serikali imesema kupitia mipango na sera mbalimbali za utekelezaji wa kibajeti.

Serikali imesema kupitia mipango na sera mbalimbali za utekelezaji wa kibajeti,itahakikisha kuwa miradi iliyoachwa na Serikali ya awamu ya nne inaendelea kutekelezwa na miradi ya kiilani ya ilani ya uchaguizi ya awamu ya tani nayo inatekelezwa kwa vitendo.
Naibu waziri wa nchi Ofisi ya waziri mkuu,sera,Bunge kazi,vijana ajira na walemavu Dokta Abdallah Possi ameyasema hayo Bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge viti maalum mheshimiwa Martha Umbulla aliyeuliza serikali ya awamu ya tano ina mpango gani wa kukamilisha ahadi za miradi iliyoachwa na serikali ya awamu ya nne bila ya kukamilika.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment