Image
Image

Wachambuzi wa Siasa wakosoa kauli ya Rais Magufuli kwa vyama vya Siasa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya kupokea Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva 23 June, 2016 Ikulu jijini Dar es Salaam
Ikiwa ni Siku moja tu mara baada ya rais Dkt.John Pombe Magufuli, kuwataka wanasiasa kusubiri kufanya siasa,ikiwemo kuendesha shughuli zao ambazo ni pamoja na mikutano ya hadhara na makongamano ya ndani hadi baada ya miaka mitano ili kuiwezesha serikali yake kutekeleza yale aliyowahaidi wananchi kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka jana, baadhi ya wachambuzi wa siasa wamekosoa uamuzi huo.
Mchambuzi wa masuala ya siasa, ambaye pia ni mkurugenzi mtendaji wa VOX MEDIA ANSBERT NGURUMO amesema kuwa kazi ya wanasiasa ni siasa na vyama vya siasa vimesajiliwa kufanya kazi ya siasa, hivyo kuzuia mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020 amedai ni kinyume cha misingi ya Demokrasia.BONYEZA
HAPA>>>>http://bit.ly/28TwWIV
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment