Image
Image

Wawili wafa kwenye mlipuko na wengine 72 kujeruhiwa Madagascar.

Waziri mkuu wa Madagascar Bw. Mahafaly Solona ndrasana amesema mlipuko ulitokea jana usiku mjini Antananarivo wakati wa sherehe za siku ya taifa, na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine 72 kujeruhiwa.
Milipuko iliyotegwa chini ya jukwaa la maonesho kwenye uwanja wa michezo katikati mwa mji huo ililipuka wakati maonesho ya maadhimisho yalikuwa yakiendelea.
Bw.Mahafaly amelitaja shambulizi hilo kuwa ni la kigaidi, huku akieleza kuwa serikali imeshachukua hatua za dharura ili kulinda usalama wa raia wake.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment