Image
Image

11 wasimamishwa uanachama CUF, wawili wafutwa uanachama, watatu wakaimu nafasi zilizowazi.


NduguWaandishiwahabari,
AwaliyayotenaombanianzekwakumshukuruMwenyeziMungukwakutujaaliauhainauzimawaafyanatukawezakukutanahapaasubuhihiiyaleo. TunamshukuruMwenyeziMungupiakwakuijaalianchiyetukuendeleakubakikatikahaliyaamaninautulivulichayamatatizomengiyanayotukabili.
Pili, nichukuefursahiikukushukuruninyinyiwaandishiwahabarikwakuitikiawitowetunakujakutusikiliza. Ni imaniyangukuwakamaambavyommekuwamkitupamashirikianomazurikatikakuwafikishiawananchiyaleambayochamachetukupitiakwenukimekuwakikiyatoleataarifa, kwauzitowakipekeetaarifahiinayomtawafikishiaWatanzaniawotekupitiavyombovyenuvyahabari.
NduguWaandishiwahabari,
Tumewaitaleohiikuwaelezajuuyamaazimioyakikao cha BarazaKuu la Uongozi la Taifakatikakikaochake cha dharuakilichofanyikajana, Jumapiliyatarehe 28/08/2016 KatikaukumbiwaMakaoMakuuya Chama, ofisizaVuga. KikaohichokilichoongozwanaMwenyekitiwamudaMhe, Hamidu Hassan Bobali, MbungewaJimbo la MchingakilihudhuriwawaWajumbe 46 katikayaWajumbe 60.
NduguWandishiwaHabari,
Kama mnavyojuatarehe 21/08/2016 Chama Cha Wananchi – CUF kilikuwanaMkutanoMkuuMaalumwaTaifauliofanyikakatikaukumbiwa Blue Pearl, Ubungo Plaza, Dar es Salaam. Mkutanohuoulikuwana agenda mbilikuu, ambazoni:-
1. KupokeabaruayaProfesa Ibrahim HarunaLipumbayakujiuzulunafasiyakeyauenyekitiyatarehe 05/08/2015; na
2. KufanyaUchaguziwakujazanafasizilizowazi - MwenyekitiTaifa, MakamuMwenyekitinaWajumbewannewaBarazaKuu la Uongozi la Taifa.
Kufuatiahujumazamakusudizilizoandaliwakwamashirikianoyamaaduiwandaninanjeyachama, aliyekuwaMwenyekitiwamudawaMkutanoMkuuMaalum, Mhe Julius MtatiroalilazimikakuakhirishaMkutanoulemarabaadayakumalizikakwaajendaya kwanza ambapoMkutanoMkuuuliridhiakujiuzulukwaProfesaIbrahimuHarunaLipumbakwaazimiolililoungwamkononawajumbe 476 dhidiyawajumbe 14 waliokataa. Hivyobasi agenda namba 2 haikuwahikukamilishwa, nakwahivyohaikufanyiwamaamuzi.
Kikao cha BarazaKuu la Uongozi, kilichokaajanakimejadilikwa kina juuyahujumazakuvurugaMkutanoMkuuMaalumwatarehe 21/08/2016. BarazakuulimesikitishwasananakitendokileambachombaliyakukisababishiachamahasarayazaidiyaShillingimilioni 600, piakimepelekeakuhaributaswirayachamandaninanjeyanchi.
BarazaKuulilipatanafasiyakupokeamaelezoya kina kutokakwawajumbembalimbalihasa wale wanaotokea Tanzania Bara walioelezakwambahujumazilizofanywakuvurugaMkutanoMkuuMaalumwaTaifawatarehe 21 Agosti, 2016 hazikuwazabahatimbaya au zakushtukizabalinimatokeoyanjamanambinuovunachafuambazozimekuwazikipangwanakutekelezwachinikwachinikwamudamrefu. WajumbewaBarazaKuu la Uongozi la Taifawalielezakwaushahidijinsibaadhiyaviongoziwa Chama walioaminiwanakupewanyadhifazajuuwalivyogeukanakuanzakutumiwanamaaduiwanjeya Chama kukihujumu Chama.
BarazaKuulimezingatiakuwa CUF nichama cha kistaarabu, ni Chama cha Kidemokrasianani Chama chenyekutoamatuminiyamabadilikoyakwelikwaWatanzaniawaliowengi. Vuruguzilizojitokezaniaibunafedhehakwachamachetumbeleya macho yaWatanzanianawapendademokrasia.
BarazaKuu la Uongozi la Taifalimeridhikakwambawatuhaowaliokuwavinarawavurugunanjamahizoovuwalipewanafasimarakadhaakujirekebishadhidiyamwendowaohuodhidiya Chama lakiniwaliendeleanavurugunahujumazaohizo. Kwahatuailiyofikia, BarazaKuulimeonahalinanjianyengineyakukinusuru Chama isipokuwakuchukuahatua kali namadhubutikukilinda Chama ambaoniwajibu wake kikatiba.
Kwamsingihuubasi, BarazaKuu la Uongozi la Taifakwakaulimoja (unanimously) limeamuakuchukuahatuazakinidhamukwaviongozinawanachamambalimbaliwaliohusikakwanjiamoja au nyenginekatikakuchocheavuruguzile. Barazakuulimechukuahatuambilikubwaambazonikutoakaripio kali, kusimamishanakufukuzauanachamawahusikawotewalioshirikikuchocheavuruguhizo.
Viongoziwaliopewakaripio kali kwamujibuwaKatibaya Chama, Ibaraya 83 (5)(b) ambaoniwajumbewaBarazaKuu la Uongozi la Taifani:
1. RukiyaKassim Ahmed na
2. AthumaniHenku
ViongoziwaliosimamishwauanachamakwamujibuwaKatibaya Chama, Ibaraya 83 (5)(c), hadihapowatakapopatafursayakujielezambeleyaBarazaKuuni;
1. Prof Ibrahim HarunaLipumba
2. Magdalena Sakaya
3. Abdul Kambaya
4. Ashura Mustafa
5. Omar MhinaMasoud
6. Thomas Malima
7. Kapasha M. Kapasha
8. MaftahaNachumu
9.MohamedHabibMnyaa
10. HaroubShamis
na

11. Mussa Haji Kombo
MwanachamaaliyefukuzwachamaambayealipatafursayakujielezambeleyaBarazaKuunakikaokuamuakumfukuzachamakwamujibuwaKatibaya Chama, Ibaraya 83 (5)(c) nialiyekuwaKaimuKatibuMtendajiwaJumuiyayaWazeewa CUF (JUWACUF), ShashuLugeye.
Kufuatiamaamuzihayo, BarazaKuu la Uongozi la Taifalimewateuaviongozimbalimbalikukaimunafasimbalimbalizilizoachwawazi.
KwakuzingatiakwambakutokamilikakwaMkutanoMkuuMaalumwaTaifawatarehe 21 Agosti, 2016 kulipelekeakushindwakufanyikakwauchaguziwaMwenyekitinaMakamuMwenyekitiwa Chama, BarazaKuu la Uongozi la TaifalimetumiauwezoliliopewanaKatibaya Chama, Ibaraya 101 na 118, kuundaKamatiyaUongoziambayoitakuwaikifanyakazizaMwenyekitinaMakamuMwenyekitihadihapouchaguziwakujazanafasihizoutakapofanyika. BarazaKuu la UongozilimewateuawafuataokuwawajumbewaKamatihiyoyaUongozi:
1. Mhe. Julius Mtatiro – Mwenyekiti;
2. Mhe. Katani Ahmed Katani – Mjumbe; na
3. Mhe. SeverinaMwijage – Mjumbe.
AidhaBarazaKuu la Uongozi la Taifa, kwakufuataIbaraya 105 (1) na (3) yaKatibaya Chama, limemteuaMhe. JoranBashangekuwaKaimuNaibuKatibuMkuuwa Chama kwaupandewa Tanzania Bara naMhe. MbaralaMaharagandekuwaKaimuNaibuMkurugenziwaHabari, UenezinaMawasilianokwaUmmahadihaponafasihizozitakapojazwarasmikwamujibuwamashartiyaKatibaya Chama.
Mwisho, BarazaKuu la Uongozi la Taifalinawahakikishiawanachamanawapenzi wake naWatanzaniawotekwaujumlakuwa Chama Cha Wananchi – CUF kipoimaranamakininakatuhakitoyumbishwakwa hila nanjamaovunachafuzinazofanywanamaaduiwachamahichi. Tangukuasisiwakwake, CUF imeandamwanamaaduiwakilaaina, naimepitiakatikamisukosukomingi. Tunaamini hila nanjamahizoovuzimekuwazikielekezwa CUF kwakutambuakwamba Chama hichindichokinachobebadhamirayadhatiyakuletamabadilikoyakwelihapanchini.
Kutokananaumadhubuti, umakininauimarawaKatibaya Chama nasafuyaviongozi wake, CUF imewezakuvukasalamakilailipoingiakatikamisukosukohiyonakwahivyo, hatawimbihililililoonekanakukitikisa Chama limekabiliwaipasavyonasasakaziiliyopombeleyetunikuendelezaharakatizakisiasazakuwaleteaWatanzaniawa Bara na Zanzibar mabadilikowanayoyataka.
HAKI SAWA KWA WOTE
Nassor Ahmed Mazrui
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment