Image
Image

Wayne Rooney kuacha kuichezea Uingereza baada ya kombe la dunia 2018.

Mchezaji wa kimataifa na mshambuliaji wa timu ya Manchester United ya Uingereza Wayne Rooney mwenye umri wa miaka 30 athibitisha kuacha kuitumikia timu yake ya taifa ya Uingereza baada ya kombe la dunia litakalo timua vumbi  nchini Urusi mnamo mwaka 2018.Wayne Rooney aliyafahamisha hayo katika mkutano na waandishi wa habari.
Ifahamike ya kwamba Rooney  alianza kuitumikia timu ya taifa ya Uingereza mwaka 2014 na meshaichezea mara 155 na kuifungia magoli 53.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment