Image
Image

Walinda usalama watatu wafariki katika shambulizi la PKK Hakkari

Walinda usalama watatu katika kijiji cha Hakkari wafarikia katika shambulizi lililotekelezwa na wanamgambo wa kundi la kigaidi la PKK katika eneo la Yuksekova Hakkari nchini Uturuki.Walinda usalama wapatao wawili pia wamejeruhiwa katika shambulizi hilo.
Walinda usalama hao walikuwa wakichunga doria katika ukarabati wa barabari unaofanyika Yeniisik na kushambuliwa na magaidi wa undi la PKK.
Baada ya kujeruhiwa, walinda usalama hao walipelekwa katika hospitali ya Yuksekova na baadae operesheni ya kuwasaka walioendesha shambulizi hilo imeanzishwa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment