Image
Image

TCU yatakiwa kuhakikisha program zake za masomo zinazingatia soko la ajira nchini.


Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), kuhakikisha programu za masomo zinazoanzishwa na vyuo vikuu nchini zinazingatia mahitaji ya Taifa na soko la ajira.
Majiwali ametoa agizo hilo leo (Jumanne) wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Amesema hivi sasa kuna baadhi ya vyuo nchini ambavyo vinatoa programu ambazo haziendani na mahitaji halisi ya Taifa pamoja na soko la ajira.
"Napenda kusisitiza TCU inahakikisha programu hizo zinazingatia mahitaji yetu hapa nchini,"amesema.
Habari Zinazohusiana
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment