Image
Image

Wauaji wa Alibino Biharamulo kunyongwa mpaka kufa.


Mahakama kuu kanda ya Bukoba imewahukumu kunyongwa mpaka kufa watuhumiwa wawili, Pankras Minago na Lameck Bazil kwa kumuua mlemavu wa ngozi Magdarena Andrea.
Jaji Firmin Matogolo ametoa hukumu hiyo leo baada ya kuridhika na ushahidi kuwa ndio walimuua mlemavu wa ngozi mkazi wa Wilaya ya Biharamulo Mwaka 2008.
Mwananchi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment