Image
Image

Rais Magufuli kumuapisha Jaji Prof. Ibrahim Juma leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli leo 18 January 2017 atamuapisha Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Jaji Prof. Ibrahim Hamis Juma Ikulu jijini Dar es Salaam.
Taarifa ia Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu kwa vyombo vya Habari imeeleza kuwa tukio la kuapishwa kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania litafanyika kuanzia saa 10:00 Jioni leo na kurushwa MUBASHARA kwenye Radio na Luninga (Television) ya Taifa (TBC) pamoja na Tovuti ovuti rasmi ya Ikulu ambayo ni www.ikulu.go.tz.

Aidhaa taarifa hiyo imesisitiza kuwa wananchi wote wanaalikwa kufuatilia Matangazo hayo ya Moja kwa Moja.



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment