Image
Image

Watukumi 10 nchini iran wahukumiwa kifo kwa kufanya biashara za dawa za Kulevya.

Watu 10 waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kufanya shughuli ya biashara haramu ya ulanguzi wa dawa za kulevya wahukumiwa kifo nchini iran.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na idara ya haki za binadamu ni kuwa watu 7 walihukumiwa kifo katika gereza la Lengerud iliyoko mjini Kum huku watatu waliobaki kupewa adhabu hiyo katika jela ya Zabul inayopatikana wilayani Sustan.
Ripoti kadhaa zimearifu kuwa Iran ni nchi inayotekeleza adhabu ya kifo hasa kwa waliohusika na makosa ya ulanguzi wa madawa ya kulevya .Mwaka 2015 jumla ya watu  977 walipewa hukumu ya kifo .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment