Image
Image

Mlipuko waua watano na kujeruhi 40 katika soko nchini Pakistan

Watu watano wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine arobaini wakiwa wamejeruhiwa baada ya mlipuko kutokea katika soko moja nchini Pakistan.
Mlipuko huo umetokea katika mji wa Parachinar kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Kwa mujibu wa habari tokeo hilo lilitokea ghafla sana na huenda idadi ya waliojeruhiwa nakupoteza maisha ikaongezeka.
Kati ya waliojeruhiwa wengi wao ni watoto na wanawake .
Hata hivyo chanzo cha mlipuko huo bado hakijajulikana na uchunguzi zaidi unaendeela.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment