Image
Image

Spika Ndugai, ataka kukamatwa kwa Mdee na Mbowe kufikishwa kwenye kamati ya maadili.

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai ameagiza kukamatwa kwa  kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa Kawe Mh. Halima Mdee ili wafikishwe kwenye kamati ya maadili kinga na madaraka ya Bunge kutokana na kudaiwa kutumia lugha za matusi wakat i wa uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment