Image
Image

Kesi ya Kuua bila kukusudia, Mahakama kuu Tz kutoa hukumu 13 Novemba 2017.

Wazee wa baraza ambao pia ni washauri wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wameeleza kuwa msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' ameua bila kukusudia.
Kutokana na hali hiyo, Jaji Sam Rumanyika amepanga kutoa hukumu Novemba 13 mwaka huu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment