Image
Image

Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe akamatwa na polisi, apelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe.

Asubuhi hii Polisi wamemkamata Kiongozi wa Chama, ndugu Kabwe Z. Ruyagwa Zitto akiwa nyumbani.
Taarifa za awali ni kuwa wanampeleka kituo Polisi Chang'ombe. Wanasheria wetu wa Chama wanashughulikia kujua sababu za ukamatajwi huo (japo taarifa ni kuwa ni kwa sababu ya mkutano wetu wa uzinduzi wa Kampeni Kijichi).
Yeremiah Kulwa Maganja 
Mwenyekiti Taifa - ACT Wazalendo 
Oktoba 31, 2017
Dar es salaam
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment