Image
Image

Matiang'i: Kuna usalama wa kutosha uchaguzi wa marudio Kenya

Kaimu waziri wa usalama wa ndani Kenya Dkt Fred Matiang'i amesema amekutana na kiongozi wa waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika AU, Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.
Ameandika kwenye Twitter kuwa amemhakikishia kuna usalama wa kutosha kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa marudio kesho.
https://twitter.com/FredMatiangi/status/923112607359303680/photo/1?re
Zaidi Bofya hapa:http://www.bbc.com/swahili/live/habari-41746444
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment