Image
Image

Rais Magufuli amteua aliyekuwa DC Arumeru, Mnyeti kuwa RC, Mangu awa Balozi.

Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa
Mkoa wa Manyara - Mkuu wa Mkoa ni Alexandar Pastor Mnyeti (Alikuwa DC wa Arumeru)

Mkoa wa Rukwa - Mkuu wa Mkoa ni Joachim Leonard Wangabo (alikuwa DC wa Nanyumbu)

Mkoa wa Geita - Mkuu wa Mkoa ni Bwana Robert Gabriel Lughumbi (alikuwa DC wa Korogwe)

Mkoa wa Mara - Mkuu wa Mkoa ni Adam Kigoba Ally Malima (aliwahi kuwa kwenye baraza la mawaziri awamu ya nne)

Mkoa wa Dodoma - Mkuu wa mkoa ni Bi. Christine Solomoni Mndeme (alikuwa DC wa Dodoma Mjini)

Mkuu wa Mtwara - Gelasius Gasper Byakanwa (alikuwa DC wa Hai)

Uteuzi wa Mabalozi
Dr. Aziz P. Mlima - Amekuwa Balozi (alikuwa Katibu Mkuu wizara mambo ya nje)

IGP Mtaafu Ernest Mangu - AMekuwa Balozi

Hawa Vituo vyao vya kazi vitatangazwa

Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu wao
Ofisi ya Rais Ikulu - Katibu Mkuu Alifayo Kidata

Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na utawala Bora - Katibu Mkuu Dr. Lawrian Ndumbaro
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Dorothy Mwaluko

Ofisi ya Rais TAMISEMI - Katibu Mkuu Eng. Mussa Iyombe
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Afya) - Zainabu Chaula
> Naibu Katibu Mkuu (TAMISEMI Elimu) - Dickson Nzunda

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Katibu Mkuu Eng. Joseph Kizito Manongo (alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo hiyo)
> Naibu Katibu Mkuu - Bi. Butamo Kasuka Philipo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment