Image
Image

Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi afafanua kuhusu bomoa bomoa.


"Watu ambao walijenga na wanaishi kwenye nyumba zao katika maeneo yasiopangwa na kupimwa, yale yanayoitwa makazi holela, serikali imekuja na programu ya urasimishaji ili hawa wananchi na wenyewe wapate fursa ya kuishi katika makazi rasmi na wapate hati na huduma.Waziri Lukuvi
"Hiyo bomoa bomoa iliyoandikwa kwa takwimu ni maneno ya kulekule sisi serikali ya awamu ya tano tunafanya zoezi la urasimishaji,lakini ni kweli tutavunja kwa wale watu ambao wamenyang'anya viwanja ambavyo sio stahili yao. Waziri wa Ardhi William Lukuvi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment