Image
Image

EXCLUSIVE; SERIKALI KUCHUNGUZA SHULE NA VYUO BINAFSI VISIVYO NA BODI

Serikali imeanza kuchunguza na kuchukua hatua kwa shule na vyuo vyote binafsi visivyokuwa na bodi ili kuvichukulia hatua kutokana na kukiuka sheria za uendeshaji wa taasisi hizo za utoaji elimu mkoani dsm.

Akizungumza kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Dsm Said meck sadik katika mahafari ya 5 ya chuo cha ualimu cha EBONITE jijini dsm jana,Katibu tawala wa mkoa wa dsm Theresia mbando amesema hatua hiyo inatokana na baadhi ya vyuo na shule kutokuwa na bodi za uendeshaji.



Said Meck Sadik - Mkuu wa Mkoa DSM
Kwa upande wake m\kiti wa bodi ya chuo hiko Elia Elibariki amesema jumla ya wahitimu 243 ,wamehitimu mwaka huu ambapo wahitimu 123 wa daraja la kwanza na 93 walimu wa shule za awali.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment