HILI
NI GARI LA MCHUNGAJI PETER MSIGWA LIKIWA LIMESIMAMA HAPO, KABLA YA KUKAMATWA NA
POLISI LEO.
|
| ASKARI WAKIWA WANASHUKA KWENYE GARI KWA LENGO LA KUMKAMATA MCH. PETER MSIGWA. |
![]() |
| MCH. PETER MSIGWA. |
Mtangazaji huyo amekamatwa leo wakati akielekea kazini , inadaiwa kupigwa virungu na jeshi la polisi wakati akikamatwa pamoja na watu wengine 60 akiwemo mbunge wa jimbo hilo mchungaji Peter Msigwa.


Mmmmh!
ReplyDelete