Rapper Jah rule ametupia picha yake
kupitia mtandao wa instagram ikimuonyesha akiwa na mwili wa mazeoze tofauti na
alivyoingia jela.
Mwili wake huo unaonekana kama mtu ambaye alipokuwa huko jela alikua akipiga chuma wakati akitumikia miaka yake
miwili aliyokuwa amefungwa kwa kosa la kumiliki silaha kinyume na sheria.


0 comments:
Post a Comment