TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
kutoka ofisi ya kamanda wa plisi mkoa wa Arusha
KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MBUNGE WA ARUSHA MH.GODBLES LEMA KUTUHUMUWA UJUMBE WA VITISHO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH.MAGESA MULONGO
kutoka ofisi ya kamanda wa plisi mkoa wa Arusha
KUHUSU TUHUMA ZILIZOTOLEWA NA MBUNGE WA ARUSHA MH.GODBLES LEMA KUTUHUMUWA UJUMBE WA VITISHO NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA MH.MAGESA MULONGO
NDUGU WANA HABARI mtakumbuka kwamba katika kipindi cha mwishoni mwa
mwezi APRILI 2013 vyombo vingi vya habari vikiwemo radio magazeti
namitandao ya kijamii vili andika na kutangaza habari iliyoelezea
shutuma zilizo tolewana mbunge wa Arusha Mh.GODBLES LEMA kuwa ali
andikiwa ujumbe wa vitisho kwa njia ya simu na mkuu wa mkoa wa Arusha
Mh. MAGESA MULONGO uliosomea..

0 comments:
Post a Comment