Image
Image

MAMA SALIMA AKUTANA NA M,TAALAMU WA MAGONJWA YA WATOTO JEROME.


Mke wa Rais Mama Salma Kikwete( kushoto) akizungumza na Daktari Bingwa wa Watoto Jerome Paulson ( kulia) kutoka  nchini Marekani  sambamba na Viongozi wa Chama cha Madaktari wa Watoto hapa nchini Tanzania katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment