Image
Image

BONDIA MTANZANIA OMARI KIMWERI AMTANDIKA MAKONDE MTAILAND KWA KO.

 Bondia Mtanzania Omari Kimweri anaefanya shughuli zake Australia kulia akinyooshwa akimsukumia makonde mazito mfululizi bondia Ekkalak Saenchan wa Thailand na kufanikiwa kumtwanga kwa kwa KO raundi ya kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita 


Bondia Mtanzania Omari Kimweri anaefanya shughuli zake Australia kulia akinyooshwa mkono juu kuashilia ushindi wake baada ya kumtwanga Ekkalak Saenchan wa Thailand kwa KO raundi ya kwanza. 
Bondia Mtanzania Omari Kimweri anaefanya shughuli zake Australia akimsikilizia mpinzani wake baada ya kumtwanga kumi nzito na kuhesabilwa wakati wa mpambano wake ata hivyo mpinzani wake akuendelea na kufanikiwa kupata ushindi wa K,O ya raundi ya kwanza.
picha kwa niaba ya Mtandao wa SUPER D


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment