Image
Image

SIKU YA MWANAMKE WA AFRIKA 2013 DAR YAFANA.

                         Wasanii wa kikundi cha MJOMBA, wakitumbuiza kwa ngoma


Msanii maarufu wa Tanzania, Mrisho Mpoto a.k.a MJOMBA, akitoa ujumbe kwenye moja ya maonyesho ya kikundi chake kupamba sherehe hizo kwenye ukumbi wa Jumba la Makumbusho ya taifa jijini Dar es Salaam Jumatano Julai 31, 2013

Baadhi ya akina mama waliohudhuria sherehe hizo wakiwa na nakala ya rasimu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano 2013, ambayo walijadili vipengele kadhaa vinavyohusu haki za mwanamke
Mwenyekiti wa WiLDAF-Tanzania, ambaye pia ni mheshimiwa mbunge wa viti maalum kupitia chama cha upinzani CHADEMA, Naomi Amy Mwakyoma Kaihula, (Wapili kushoto), akinena jambo huku akipongezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa WiLDAF, Dr. Judith Odunga (Wapili kulia) na mwanaharakati wa haki za binadamu, Profesa Ruth Meena (Kulia), ambaye alichokoza baadhi ya vipengele vilivyomo kwenye rasimu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya mwaka 2013 vinavyohusu haki za wanawake ambapo akina mama waliohudhuria sherehe hizo walijadili na wakwanza kushoto ni Mwanasheria kutoka kituo cha haki za binadamu (LHRC), Anna Henga.

Ili kuonyesha majukumu mengi yanayomkabili mwanamke, mama huyu akiwa amembeba mtoto wa miezi mitatu na nusu, Najim Fadhil. Mama huyu hakupenda kupitwa na sherehe hizo.

MTANDA BLOG




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment