Image
Image

FRANCIS MIYEYUSHO ASAINI MKATABA KUZIPIGA IDDI MOSI DAR LIVE JIJINI DAR ES SALAAM


Bondia Francis Miyeyusho kushoto akitia saini mkataba wa makubaliano ya kucheza siku ya sikukuu ya Idi mosi na Darius Lipupa wa Zambia mpambano utakaopigwa katika ukumbi wa Dar Live kushoto ni Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah 'Ostadhi'   





Rais wa TPBO LIMITED Yassin Abdallah 'Ostadhi' kushoto akimkabidhi kiasi cha pesa bondia Fransic Miyeyusho kama sehemu ya maand
alizi ya mpambano wake utakaofanyika siku ya Sikukuu ya Iddi katika ukumbi wa Dar Live.

PICHA NA BLOG YA SUPER D



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment