Image
Image

JUMUIYA YA KIISLAM (ZADEO)-ZANZIBAR YAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI NAKUTOLEA UFAFANUZI TUHUMA ZA KUWATAPELI MAHUJAJI.


Rais wa Jumuiya Kiislamu (ZADEO) Sheikh, Haji Ameir Haji, akitoa ufafanuzi juu ya tuhuma za kuwatapeli mahujaji, huko katika ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni weles Mjini Zanzibar.





Waandishi wa habari mbalimbali wakiandika habari kwa kina zilizotolewa na Sheikh, Haji Ameir Haji juu ya tuhuma zilizotolewa dhidi yake, huko katika ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni weles Mjini Zanzibar. 
Mwandishi wa habari, Yahya Saleh wa chuchu Fm akimuuliza suali Rais wa Jumuiya Kiislamu (ZADEO) Sheikh, Haji Ameir Haji, katika mkutano wake na waandishi wa habari, huko katika ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni weles Mjini Zanzibar. 
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.




Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment