Image
Image

SHUGHULI MBALI MBALI ZA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya kumbukumbu na  Mhe Hilda A. Gondwe  na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma  Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na  Mhe Hamisi Amir Msumi na familia yake baada ya kumuapisha kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma  Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake Ikulu, jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Mansoor Daya Chemicals alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hamisi Amir Msumi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma  Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake Ikulu jijini Dar es salaam.





























Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment