Image
Image

WATU ZAIDI YA 38 WAFARIKI KUFUATIA VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA MORSI HII LEO.


Hawa ni baadhi ya majeruhi wakipelekwa kwenye hospitali ya mji wa nasr nchini Misri.

Hawa ni baadhi ya waaandamanaji wa morsi wakiwa kwenye maandamano yakushinikiza kurudishwa rais wake madarakani.

Wafuasi wa morsi wakiwa wamembeba mwenzao mara baada ya kuumia kwenye vurugu zinazoshinikiza morsi arudishwe madarakani mara baada ya kung”olewa kinguvu na utawala wa kijeshi nchini humo hivi karibuni.

Moja ya mfuasi wa bwana morsi akiwa kwenye piki piki akipelekwa hospitalini mara baada ya kuumia kufuatia vurugu za kushinikiza Morsi kurudishwa madarakani












Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment