Image
Image

ASKARI POLISI SABA NCHINI KENYA WANAO HOJIWA KWA KUSHUKIWA NA UPORAJI WA KUIBA PESA WATAMBULIKA.




Askari polisi saba wanao hojiwa nchini Kenya wakishukiwa kuhusika na uporaji wakati wa moto ambao ulitokea na kuteketeza eneo la mapokezi la uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi nchini Kenya, Askari hao waliotambulika kwa majina akiwemo Inspector wanashutumiwa kuiba pesa na vinywaji.

Wafanyakazi wa uwanja wa ndege uhamiaji na madereva taxi ni miongoni mwa watu wanao hojiwa mara baada ya kamera za usalama nchini humo kuonesha wakiiba vitu madukani.
Polisi nchini humo wanawatafuta watu wane waliokuwa wakisubiri kufukuzwa nchini kabla ya moto huo kutokea.

Watu hao walitoroka baada ya tukio hilo la moto lililosababisha hasara ya mamilioni ya shilingi za Kenya.
Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta alielezea wazi  tukio hilo la moto kuwa halitokani na kitendo chochote  cha kigaidi kama walivyokuwa wakidhani wengine..


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment