Image
Image

WAKAZI NCHINI UGANDA WAYAHAMA MAKAZI YAO KUFUATIA MAFURIKO NCHINI HUMO.





Maelifu ya wakazi  kaskazini mwa  Uganda wamelazimika kuyahama makazi yao mara baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko.

Nyumba nyingi kaskazini mwa Uganda zimeonekana kuzingirwa nan a maji Kufuatia Kunyesha mvua mfululizo kwenye eneo hilo.

Maafisa wa afya wameelezea wasi wasi wao wa kutokea kwa magonjwa ya milipuko kutokana na kukosekana kwa maji safi na salama huku maji mengi maji mengi yaliyozunguka makazi ya watu hao yakiwa yamechanganyika na kinyesi.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment