Image
Image

PROGRAMU YA PAMOJA TUWALEE FHI 360 YATOA MSAADA WA BAISKELI 257 ZENYE THAMANI YA SH27.2MILIONI KWA WAHUDUMU WANAOWAHUDUMIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI MOROGORO.

 Baadhi ya wahudumu wanaowahudumia watoto wanaishi katika mazingira hatarishi wakisukuma lori aina ya fuso lililohesheni baiskeli za shirika la programu ya pamoja tuwalee FHI 360 ambazo zinatolewa msaada kwa wahudumu wa mkoa wa Morogoro ambao wanatoa huduma kwa watoto wanaishi katika mazingira hatarishi ambapo jumla ya baiskeli 257 zenye thamani ya sh 27.2milioni zilitolewa katika hafla iliyofanyika kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Morogoro hivi karibuni.


Sehemu ya baiskeli zikiwa zimepangwa tayari kwa kuwakabidhi wahusika

 Mwandishi mkongwe wa TBC 1 mkoa wa Morogoro Monica Lyampawe kushoto na Mwandishi wa Habarileo mkoa Morogoro John Nditi wakifuatilia matukio mbalimbali katika hafla hiyo.
 Makamu Mkurugenzi PROGRAMU YA PAMOJA TUWALEE FHI 360, Levina Kikoyo akitoa taarifa mbele ya mkuu wa mkoa kulia na Katibu Tawala Msaidizi mkoa wa Morogoro, Lucas Mwaisaka (katikati) katika hafla hiyo.
Mwandishi mkongwe wa TBC 1 mkoa wa Morogoro Monica Lyampawe kushoto na Mwandishi wa Habarileo mkoa Morogoro John Nditi wakifuatilia matukio mbalimbali katika hafla hiyo
 Bendera akizungumza wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa baiskeli hizo kwa wahudumu wanaowahudumia watoto wanaishi katika mazingira magumu wanaojitolea (hawapo pichani) baada ya shirika la PROGRAMU YA PAMOJA TUWALEE FHI 360 kutoa baiskeli hizo



Bendera akiribu kuiendesha moja ya baiskeli hizo mara baada ya kuzindua ugawaji.( Picha na Mwenda Pole na Upole Wake).
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment