Image
Image

DC URAMBO ANNA MAGOHA AFARIKI DUNIA.


Mkuu wa wilaya ya Urambo Bi.Anna Magoha Wakati wa uhai wake akionekana akisoma hotuba kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Tabora katika sherehe za Mei Mosi Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mwaka jana(Picha naMaktaba Yetu).



Serikali ya rais Jakaya Kikwete imepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Urambo Bi Anna Magoha kufariki dunia dakika chache jioni jana.

Kwa taarifa za kuamikika kutoka kwa rafiki wa karibu mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Moto kabati (CCM) ambazo mtandao huu umezipata kupitia www.francisgodwin.blogspot.com Zinadai kuwa mkuu huyo wa wilaya amefariki jana jioni akiwa njiani kukimbiza Hospitali ya taifa ya Muhimbili.

Marehemu alikuwa ni mkazi wailaya ya Kilolo mkoa wa Iringa
Habari kamili itaendelea kukujia.
 
Chanzo:http://www.matukiodaima.com/


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment