Image
Image

NCHI TANO ZA AFRIKA MASHARIKI, TANZANIA IKIWA MOJAWAPO ZATILIANA SAINI YA MAKUBALIANO WA KUZALISHA UMEME.



Nchi za Afrika mashariki na kati ikiwa,  Tanzania, Burundi, na Rwanda zimetiliana saini makubaliano ya pamoja ya mradi wa kuzalisha umeme wa Rusumo Falls. 

Mradi huo utagharimu dola za kimarekani milioni 340 na unatarajiwa kuinua kiwango cha umeme na pia uzalishaji viwandani pindi tu utakapokamilika. 


Waziri wa kawi nchini Burundi Manilakiza Cone anasema mradi huo unatarajiwa kuipa nchi yake megawati muhimu za umeme kuweza  kuendeleza shughuli za uzalishaji viwandani. 

Waziri wa kawi nchini Tanzania Sospeter Muhongo anasema kuanza kwa mradi huo ni jambo la kutia moyo kwa nchi yake kwani mradi huo umekuwa ukikusudiwa tangu mwaka wa 1974.
Mradi huo unatarajiwa kutoa mega wati 80 za umeme.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment