Image
Image

WANYOIKE: ASEMA HATUA ZIMEPIGWA KUSAIDIA WATU WENYE ULEMAVU.



Wakati mjadala mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ukianza leo New York, Marekani ajenda muhimu ikiwa ni utekelezaji wa malengo ya maendeleo ya milenia na ajenda ya maendeleo baada ya mwaka 2015, mwanariadha mashuhuri kutoka Kenya mwenye ulemavu wa macho Henry Wanyoike amesema hatua zimepigwa kusaidia kundi hilo lakini bado kuna changamoto.   

Mwanariadha Henry wanyoike na msaidizi wakeJoseph Kibunja.


Wanyoike ambaye pia ni balozi mwema wa kamati ya kimataifa ya michezo ya olimpiki kwa walemavu ametaja mafanikio hususan nchini mwake akigusia ujumuishi katika michezo.


Kuhusu kuwezesha walemavu kupata huduma mbali mbali amependekeza kuondolewa ushuru kwa vifaa kama vile vya kusomea au kusikiliza na hata vya kuwawezesha kutembea.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment