Image
Image

WATANZANIA WAPATA CHAKULA CHA JIONI UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC

Katibu Mkuu Wizara ya fedha Dkt. Silvacius Likwelile aliyesimama akisalimia ujumbe wa Tanzania pamoja na baadhi ya watanzania waishio Marekani kabla ya kuanza kwa hafla ya chakula cha jioni ubalozi wa Tanzania – Marekani.




 Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akitoa utambulisho wa viongozi wakati wa chakula cha jioni kwa ujumbe wa Tanzania na baadhi ya watanzania waishio Marekani.



 Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akiongea machache wakati wa chakula cha jioni katika ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kulia kwake ni Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula.




 Kutoka kulia Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Wiliam Mgimwa, Waziri wa Fedha Zanzibar Bw. Yusuph Mzee, Naibu Gavana wa BOT Dkt. Natu Mwamba wakati wa chakula cha pamoja.




Kutoka kulia wachumi Wizara ya Fedha Bw. Pima Patrick na Erasto Kivuyo wakijipatia chakula cha jioni.





Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi Eva Valerian – Washington DC
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment