Image
Image

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONDOKA SHENZHEN NA KUWASILI CHENGDU



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu  (kushoto) wakisalimiana na viongozi  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Chengdu Shuangliu nchini China wakiwa katika ziara ya kakazi nchini humo Oktoba 21, 2013.  
Waziri Mkuu, Mkuu, Mizengo PInda  akiondoka katika NYumba ya wageni ya Wozhou, Shenzhen tayari kwa safari ya kwenda Chendu akiwa katika ziara ya kikazi nchini China Oktoba 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment