Image
Image

LOWASA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE YA AWALI YA KANISA LA KKKT KIJITO NYAMA , YAINGIZA ZAIDI YA MIL. 600.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa wakiangalia kitu kupitia simu ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga.Kushoto ni Bw. Sadock Magay.

          Kwanya ilitumbuiza wakati wa Harambee hiyo.

           Mchungaji wa Kanisa hilo akinungumza machache.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa hotuba yake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,muda mfupi kabla ya kuanza kwa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika kanisa hiyo.Ambapo zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa hotuba yake katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,muda mfupi kabla ya kuanza kwa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika kanisa hiyo.Ambapo zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo jana.
 Mwenyekiti wa Harambee Maalum ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika kanisa KKKT Usharika wa Kijitonyama jijini Dar es Salaam,Mzee Kamugisha akifanya mnada wa Picha ya Jengo la Shule hiyo ya awali,Wakati wa Harambee hiyo iliyofanyika jana kwenye Kanisa la KKKT,Kijiyonyama jijini Dar es Salaam.
     Wakati wa kukusanya Harambee hiiyo  ikiendelea.
 Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,iliyofanyika jana ,jijini Dar es Salaam.
Ambapo zaidi ya Sh. Mil. 600 zilipatikana katika harambee hiyo iliyofanyika Kanisani hapo.


Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Idd Azzan akimuunga Mkono Mgeni Rasmi,Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa katika Harambee ya Uchangishaji Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali ya Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa na Wajukuu zake,Angelica (kulia) na Edward mara baada ya Ibada katika Kanisa hilo la KKKT,Kijitonyama.


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimkabidhi Muigizaji wa Filamu Nchini,Jacqueline Wolper moja ya bidhaa zilizokuwa zikinadiwa kwenye Harambee ya Uchangiaji wa Fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Awali katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama,Jijini Dar es. 

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment