Image
Image

MKUTANO MKUU WA CHIPUKIZI WA CCM WAFUNGULIWA NA MBUNGE WA TEKEKE MTEMVU JIJINI DAR ES SALAAM

 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Ng'wanang'walu (kushoto) akimkabidhi tuzo maalum, Mbunge wa Jimbo la Temeke, ambaye hivi karibuni ameteuliwa kuwa Kamanda wa umoja huo, Abbas Mtemvu kwa ajili ya kumpongeza kwa uteuzi huo pamoja na kuchangia kwa kiasi kikubwa maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Chipukizi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam, wakipiga makofi walipokuwa wakimk wakimkaribisha mgeni rasmi Abbas Mtemvu kufungua mkutano huo wa uchaguzi.
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha OTT wakitumbuiza wakati wa mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam, wakipiga makofi walipokuwa wakimk wakimkaribisha mgeni rasmi Abbas Mtemvu kufungua mkutano huo wa uchaguzi .
Baadhi ya wasimamizi wa  uchaguzi wa uchaguzi wa chipukizi wakipiga makofi alipokuwa akihutubia mTEMVU 
Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ng'wanang'walu akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Mtemvu (kulia) kufungua mkutano huo .
 Katibu wa Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akihutubia na kukemea vitendo vya rushwa katika uchaguzi huo.
 Mtemvu akimkabidhi mmoja wa chipukizi zawadi ya cheti.

Mtemvu akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano Mkuu wa Chipukizi. 
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment