Image
Image

Dk. Shein akabidhi vifaa vya mchezo wa riadha wilaya za unguja na Pemba.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikabidhi vifaa vya Riadha kwa Mwenyekiti wa mchezo huo Wilaya ya Kaskazini B Unguja Juma Hassan Ali wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.


Vifaa vya Mchezo wa Riadha vikiwa katika utaratibu uliopangwa ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alivigawa kwa wawakilishi wa Mchezo huo katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba katika hatua zake za kuupa nguvu mchezo huo ikiwemo na michezo mbali mbali hafla ya kukabidhi vifaa hivi ilifanyika ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwapa mawaidha yake mafupi viongozi wa mchezo wa Riadha walipofika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwakabidhi vifaa alivyoviandaa kwa Mchezo huo katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba katika mpango wake wa kuimarisha na kuupa nguvu mchezo huo,[Picha na Ikulu.

Viongozi wa Michezo wa Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao leo katika hafla maalum ya kukabidhi vifaa vya riadha iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya Riadha Katibu wa mchezo huo Wilaya ya Magharibi Unguja Othman Ali wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi vifaa vya Afisa Michezo Wilaya ya Kaskazini A pia mjumbe wa Riadha Taifa Faida Salim Juma wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Riadha katika Wilaya ya kumi za Unguja na Pemba leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment