Image
Image

Mugabe awafukuza mawaziri wake 2 na manaibu waziri watano kwakuwa na huruma na Mujuru



Rais ROBERT MUGABE wa Zimbabwe amewafukuza mawaziri wengine wawili na manaibu waziri watano katika kile kinachoonekana kuwa ni kuendelea na wimbi lake la kuwatimua kwenye chama tawala maafisa wenye huruma na aliyekuwa makamu wake wa rais Bibi JOICE MUJURU.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment