Image
Image

SEGOSETA:Yawataka wale wote walio husika katika kashfa ya uchotwaji fedha akaunt ya Tegeta Escrow Kujiuzulu.



David Kafulila - Muibuaji kashfa ya sakata la uchotwaji fedha Tegeta Escrow.
Baada ya Mwanasheria Mkuu  wa Serikali, Bwana  FREDIRICK WEREMA kutangaza  kujiuzu lu kwa kashfa ya fedha za akaunti ya Tegeta Escrow ,  kada wa  Chama cha Mapinduzi na  Mkurugenzi wa Taasisi  ya Utawa la Bora ya -SEGOSETA-   Bwana   THOMAS NGAWAIYA am wa taka wote waliotajwa kuhusika  kufuata maagizo ya bunge na kujiuzulu kama hatua yakukinusur u  chama .
NGAWAIYA ameyasema hayo Jijini Dar es Salaam kuwa vitendo vya   ukiukwaji wa maadili ,  rushwa , utendaji mbovu vinavyoendelea nchin i  bila ya hatua za kuwajibika na kuwajibishwa kuchukuliwa inaweza  ikakiagusha Chama cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao .
 Aidha NGAWAIYA amezungumzia kauli ya Waziri  wa TAMISEMI,   Mheshimiwa  HAWA GHASIA ya  kuahidi   kujiuzulu , iwapo itabainika amevuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amemtaka waziri huyo ajiuzulu kwa vile  baadhi ya maeneo hawakupiga  kura  kutokana na vifaa kuchelewa na  maeneo mengine kutofika kabisa .



Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment