Image
Image

Wakurugenzi 6 watimuliwa kazi na wa 5 kusimamishwa kufuatia Dosari uchaguzi wa Serikali za Mitaa.




 Ikikiwa ni suku tatu sasa tangu Waziri wa TAMISEMI, Hawa Ghasia kuzungumza  na vyombo vya habari juu ya hali iilivyokuwa katika uchaguzi wa serikali za Mitaa na kuwa na dosari kadhaa huku ofisi yake ikiwa inashutumiwa kwa kutokuwa thabiti katika hilo nayeye mwenyewe kusema kuwa endapo kama ofisi yake itabainika ilifanya uzembe wowote katika uchaguzi huo atajiuzulu lakini kama wapo watendaji  waliofanya uzembe hadi kutokea kwa dosari watawajibishwa na wengine kufukuzwa ambapo kufuatia kauli hiyo  Serikali imetengua uteuzi wa wakurugenzi 6 wa halmashauri,na hivyo kuwa simamisha kazi wengine watano ili kupisha uchunguzi kufanyika.
Kutenguliwa uteuzi huo na wengine kuwekwa pembeni kupisha uchunguzi ni kufuatia kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jumapili wiki iliyopita ya Desemba 14 nchini Tanzania.

Uamuzi huo unatokana na Ripoti iliyouibua kasoro mbali mbali katika uchaguzi huo ambapo Waziri wanchi ofisi ya waziri mkuu,Tawala za mikoa na serikali za mitaa.(TAMISEMI) Bi.Hawa Ghasia amesema kua uamuzi wa kutenguliwa nyadhifa walizo kuwa nazo wakurugenzi hao umeridhiwa na Rais Kikwete.
 Aidha amengoza kwa kuweka bayana halmashauri ambazo wakurugenzi hao waliotenguliwa kuwa ni kutoka Mkuranga,Serengeti,Bunda na Kaliuwa,Huku wakurugenzi walio simamishwa kazi ni kutoka,Mbulu,Ulanga,Kwimba,Hanan”g,Pamoja na manispaa ya Sumbawanga. 
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment